Workshop ya Ufundi Umeme
Baadhi ya vifaa ambavo vinatumika katika shuhuli za umeme
Mahfali ya tatu kituo cha mafunzo Mkokotoni
Mahfali haya yalifanyika katika kituo cha mafunzo Mkokotoni ambapo mgeni rasmin alikua ni Waziri wa Elimu na Mafunzo Amali Zanzibar.
Vifaa kutoka Iran
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali akipewa maelezo kuhusu vifaa vipya vilivyofungwa katika kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni kutoka Iran
Sherehe za Juma la Mamlaka
Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali pamoja na Viongozi wa Mamlaka ya Mafunzo Amali wakiwa katika ufunguzi wa maonesho ya Juma la Mamlaka tarehe 25/09/2017.
NAME OF THE CENTER Dhow Countries Music Academy
PHONE0777416529
PLACE Forodhani Mizingani Unguja
REGISTRATION NUMBER VTC/2015/12/00040/1
TYPES OF REGISTRATION Provission registration
TRADES OR SKILLS OFFERED Long course: MUZIKI kwa kutumia vyombo tafauti kama vile Violin, Oud, Qanon, Cello, Guitar, Zumari, Accordion, Piano nk. Pamoja na Taarab, na Kidumbaki.
OWNER OF THE CENTER Private (VTC)
CAPACITY OF STUDENTS 80