





Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA), Dkt. Bakari Ali Silima, tarehe 11 Julai 2026, alitembelea banda la VETA katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam, kujionea bunifu za wanafunzi na wakufunzi, kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika kuboresha mafunzo ya amali
Naibu Katibu Mkuu Taaluma wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Dkt. Mwanakhamis Adam Ameir, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Mafunzo ya Amali Dkt.Bakari Ali Silima, wamekutana na uongozi wa Pimpri Chinchwad University (PCU), Pune, India, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya elimu na mafunzo ya amali, kubadilishana uzoefu na kufungua fursa mpya za kitaaluma kwa maendeleo ya elimu Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar ametiliana saini mkataba wa ujenzi wa chuo cha Amali Chambani Pemba na mkandarasi mzawa kampuni ya SECCO limited, ambao utagharimu shilingi bilioni 22 hadi kukamilika kwake.
Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Elimu Mazizini.
Naibu Katibu Mkuu wa Utawala, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ndugu Amos John Henock, aliwatunuku vyeti wahitimu waliomaliza mafunzo ya Amali akiwa katika hafla ya Mahafali ya 12 ya Chuo Cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe.
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aitaka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Kuongeza Kasi ya Ubunifu na Uwajibikaji.
Welcome to Vocational Training Authority (VTA)
Vocational Training Authority (VTA) is a parastatal organization under the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT). It is assigned with the responsibility to:
-
Supervise vocational training by, determining the standards of the training’s, accessing/evaluating vocational training centers, registering vocational training centers, accessing/evaluating capacity and skills of trainers and trainees.
-
Coordinate vocational training by, conducting research of the employment market, preparing/formulating scheme (curricula, syllabus of long term and short term courses), dealing with the vocational training, enhancing capacity development and development of skills of the trainers and leaders of the vocational training.
-
Ensure the availability of adequate fund for the operating of the vocational training system;
-
Provide vocational training;
-
Confirm all certificates issued by the registered Vocational Training Centers.





