The Revolutionary Government of Zanzibar
VOCATIONAL TRAINING AUTHORITY

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Dkt Bakari Ali Silima Akiwa na BwanaArturo Vittori ambae ni Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la warka Water Foundation, wakisaini hati ya Maelewano (Mou) yenye lengo la Mashirikiano ya kuwawezesha vijana katika kuwapatia ujuzi, utaalamu wa vitendo na kuhifandhi urithi wa kiutamadunu na kiikolojia wa Zanzibar.

Hafla hiyo iliofanyika leo tarehe 24.01.2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Malindi. Ambayo imehudhuria na Mkurugenzi Mafunzo na Miongozi bi Ghaytha Gharib Masoud na Mkurugenzi Vyuo na Mafunzo Mhandisi Abdalla Mohammed Hambal.

Scroll to Top