Mahafali ya kituo cha Mwanakwerekwe 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Dr. Bakari Ali Silima wa tatu kulia aliekaa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo Katika Mahafali ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe tarehe 06 Machi 2020.
Bonanza la Michezo la Mamlaka
Mh. Nassor Aljazeera Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni akizungumza na washiriki wa bonanza la michezo ya Vyuo vya Amali vya Zanzibar kulia ni Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Patima Khamis Rajab na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Dr. Bakari Ali Silima tarehe 06 Machi 2020 katika viwanja vya Kikwajuni.
Matembezi ya hisani na uchangiaji wa damu mwaka 2020
Mh.Mwanasha Khamis Juma Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Unguja na Mwenyekiti wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wa tatu kulia aliekaa akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar katika sherehe ya Matembezi ya hisani na zoezi la uchangiaji wa damu katika viwanja vya Mapinduzi Squire Kisonge tarehe 07 Machi 2020
Wafanyakazi wa Mamlaka wakiwa katika uzinduzi wa juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Mapinduzi Squire katika Uzinduzi wa Juma la Mafunzo ya Amali ya Amali tarehe 05 Machi 2020 .

Vocational Training Authority (VTA) is a parastatal organization under the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT). It is assigned with the responsibility to:

a. Supervise vocational training by, determining the standards of the training's, accessing/evaluating vocational training centers, registering vocational training centers, accessing/evaluating capacity and skills of trainers and trainees.

b. Coordinate vocational training by, conducting research of the employment market, preparing/formulating scheme (curricula, syllabus of long term and short term courses), dealing with the vocational training, enhancing capacity development and development of skills of the trainers and leaders of the vocational training.

c. Ensure the availability of adequate fund for the operating of the vocational training system;

d. Provide vocational training;

e. Confirm all certificates issued by the registered Vocational Training Centers.

Importance of Vocational Education and Training (VET)

Education general is important and basic resource, which enable a human being to manage the environment for his/her own benefits, VET is very important for providing vocational occupation according to the needs of society and economy of the country and thus there is the possibility of:-

1) Encouraging youths boys and girls and other labor forces to enter the labor market
2) To meet the need of competition, while the country enter the word of free market
3) To play great and important role in the National Poverty reduction Programs
4) To encourage the growth of private center by considering both formal and informal center
5)To coordinate the general education and VET