Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali 2019
Mh. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma, akishuhudia maonesho ya shughuli mbali mbali zinazofanywa na vituo vya Mafunzo ya Amali kupitia maonesho ya Juma la Mamlaka yaliofanyika mwezi 07/2019 katika eneo la mnara wa makumbusho Kisonge.
Mahafali ya Wanafunzi wanaopatiwa mafunzo ya ujasiri amali na stadi za kazi kupitia mradi wa EQWIP HUB chini ya mgeni rasmin Mh Simai Mohammed Said.
Mh. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Eng.Dr.Idrisa Muslim Hija na Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Dr.Bakari Ali Silima wakati Mh.Simai akihudhuria Mahafali ya EQUIPHUB yaliyofanyika katika Kituo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe
Mradi wa kuwapatia mafunzo Walimu wa VTA ukiendeshwa baina ya VTA Zanzibar na Nchi ya German.
Uongozi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Mafunzo ya Amali Zanzibar ( V.T.A) ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Dr.Bakari Ali Silima wa tatu kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa miradi ya Ujerumani Judith Bucken wa tatu kulia baada ya kikao cha Tathmini ya mradi wa Teachers Vocational Education Training (TVET) nje ya ukumbi wa Zanzibar Beach Resort tarehe 11 November 2019.
Maonesho ya Banda katika Juma la Mamlaka
kupitia maonesho ya juma la Mamlaka hizi ni baadhi ya kazi za Uchongaji ambazo zimefanywa na ktuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe

Vocational Training Authority (VTA) is a parastatal organization under the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT). It is assigned with the responsibility to:

a. Supervise vocational training by, determining the standards of the training's, accessing/evaluating vocational training centers, registering vocational training centers, accessing/evaluating capacity and skills of trainers and trainees.

b. Coordinate vocational training by, conducting research of the employment market, preparing/formulating scheme (curricula, syllabus of long term and short term courses), dealing with the vocational training, enhancing capacity development and development of skills of the trainers and leaders of the vocational training.

c. Ensure the availability of adequate fund for the operating of the vocational training system;

d. Provide vocational training;

e. Confirm all certificates issued by the registered Vocational Training Centers.

Importance of Vocational Education and Training (VET)

Education general is important and basic resource, which enable a human being to manage the environment for his/her own benefits, VET is very important for providing vocational occupation according to the needs of society and economy of the country and thus there is the possibility of:-

1) Encouraging youths boys and girls and other labor forces to enter the labor market
2) To meet the need of competition, while the country enter the word of free market
3) To play great and important role in the National Poverty reduction Programs
4) To encourage the growth of private center by considering both formal and informal center
5)To coordinate the general education and VET